dk 20 hull 0 - 1 city
thanks ninja..Hongereni kwa ushindi majirani
endelea kutupa updates za mechi zingine, maana tunakulipa hela nyingi mno,elfu mbili si mchezo kwa siku saba, haya tendea haki posho yako kijana...thanks ninja..
endelea kutupa updates za mechi zingine, maana tunakulipa hela nyingi mno,elfu mbili si mchezo kwa siku saba, haya tendea haki posho yako kijana...
Hongereni Man City!
pole zako ndugu wa manure..
huku kote tunachukua point na kukaa juu vizuri..
Mimi nilishamaliza kz na wewe Nimebaki nakutizama tu na game zako!
hii ndio official ya game ya leo..