The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa mwendo huu kombe lazima likaogelee kwenye bwawa la mto, ni makosa kama yaliyowagharimu Yanga dhidi ya Azam, Mtibwa na Mgambo.
 
Mashsbiki wa arsenal wanakila sababu ya kufurai everton kakalishwa crystal palace..2-3
 
Asante sana sunderland umenipgia kazi nzuri hahahahaha!

Jamaa zako akina MosDef na RRONDO na wengine Kibao mlikua mnasema City Bingwa au Loserfool! Sasa Mmeona?

Nakuja Anfield kukupiga hapo hapo na kuchukua ubingwa!

Teh Teh Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Jamaa zako akina MosDef na RRONDO na wengine Kibao mlikua mnasema City Bingwa au Loserfool! Sasa Mmeona?

Nakuja Anfield kukupiga hapo hapo na kuchukua ubingwa!

Teh Teh Teh Teh
loserful ndio atabeba..
 
Last edited by a moderator:
Jamaa zako akina MosDef na RRONDO na wengine Kibao mlikua mnasema City Bingwa au Loserfool! Sasa Mmeona?

Nakuja Anfield kukupiga hapo hapo na kuchukua ubingwa!

Teh Teh Teh Teh

Hahahahah

Ntuzu umefuraaahiii..

angalia aisee, wanakuja kwako hao weekend hii, wasije wakakudhalilisha mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Jamaa zako akina MosDef na RRONDO na wengine Kibao mlikua mnasema City Bingwa au Loserfool! Sasa Mmeona?

Nakuja Anfield kukupiga hapo hapo na kuchukua ubingwa!

Teh Teh Teh Teh

Mie wanaonyima ucngzi ni CP wala sio Maureen sababu najua mkija anfield lazima uso wenu niujaze manundu ya kutosha hahahahaha!
 
Last edited by a moderator:
anafikiri kushuka daraja mchezo..

Hizi team siyo za kukutana nazi kabisa kipind hiki, zinaweza zikakuharbia mipango yako yote..

Na ndo maana hata mashabik nao huwa hawalalamik kabisa..coz shughul ya hiz team huwa ni Pevu aisee..
 
League bado mbichi sana.
matokeo ya leo yamedhirihisha hivyo.
This one will go all the way until the last games of this season.
Bado City anaweza akachukua ubingwa. Mtakuja kunikumbuka kuwa nimesema hivyo
 
Back
Top Bottom