Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #421
Mhh..hii thread hivi itadumu kweli?
...hii thread haina mwisho mwema! 😀
Mkuu,
thread bado inadumu au sio?...:dance:
...mwisho wake ni kwamba jamaa wamechukua kombe la FA...:mod:
Hapo ndipo ninapowapendea washabiki wa Arsenal, nyie mwafarijika tu na Emirates Cup hamtaki makuu..😛ound:...na kweli mkuu!...duhh,
...kwenye top four za EPL ni Chelsea tu ambao hawajachukua kikombe chochote mwaka huu! i mean hata community shield ilipitia kushoto!
....Dont start thinking about Arsenal....tulijinyakulia Emirates Cup na mapeeema....ha ha ha!
Hapo ndipo ninapowapendea washabiki wa Arsenal, nyie mwafarijika tu na Emirates Cup hamtaki makuu..😛ound: