Mi sielewi kabisa wanaposema yaya sio mchezaji bora..
labda leo watamkubali baada ya kupiga cha 4
tuore hatari sana...
Hatari mnooooo lakini wazungu hawamkubali
goli la 4 ni la 100 kwa man city kwenye ligi..........kweli wanastahili ubingwa..........
bora ubingwa from man u to man c
nalalaa kwa amani sana.... see you on sunday..