The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mashabiki wa Manchester City semeni neno moja juu ya Lionel Messi!!!
 
Man City wataishia 9 tu kwa kadi zinavyotembea. Na kwa mpira wanaocheza , Barca watatingisha nyavu za City kama mara tatu hivi kwa uchache. City wataambulia 1 kwa kulenga kutoka mita 25 hivi.

Messi anawasanifu ile mbaya. Neymar anawapandisha City hasira na anajitupa ovyo ovyo.
 
ubrameni ndio unawaponza barca,,
 
Naona City wanakosa penalty. Kama wanakosa penalty ,unategemea nini?

Pia dakika zikiwa zimeyoyoma ndio wanakumbuka kuwa walienda huko kucheza mpira.
 
Messi has been great tonight but Hart has been superb. He is clearly Man of the match. Well done lad!
 
Back
Top Bottom