Man City wataishia 9 tu kwa kadi zinavyotembea. Na kwa mpira wanaocheza , Barca watatingisha nyavu za City kama mara tatu hivi kwa uchache. City wataambulia 1 kwa kulenga kutoka mita 25 hivi.
Messi anawasanifu ile mbaya. Neymar anawapandisha City hasira na anajitupa ovyo ovyo.
Mashabiki wa Manchester City semeni neno moja juu ya Lionel Messi!!!