The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

City mmekuwa uyoga juani. Mkome kuchukuwa magarasa yetu. Clichy kawakosti magoli yote mawili ya kwanza ama sivyo mechi labda ingekuwa tofauti. Nadhani mmeshagundua kwa nini Arsenal walikubali mshiko toka kwenu upesi upesi? Visima vya mafuta vitakuwa vinakauka Uarabuni. Baada ya Visima vya Uarabuni kukauka itakuwa zamu ya visima vya Siberia kukauka then mtaona ule uyoga wa darajani nao utakavyodhoofika then kufa.
Cc Ntuzu, Mentor #The Chelsea FC Special Thread
 


Hahahahaaa haki ya mama mna maneno nyie!

Ngojeni tarehe 26 tuje hapo Emirates ndio mtatuheshimu
 
Kuna vitimu vikifungwa hata mji hautikisiki, leo at least Man U ingefungwa kungekuwa na mzizimo fulani. Jumatatu huyuhuyu kafungwa na Crystal Palace hata mji haukutikisika maana ubovu ni kawaida yao.
 
Leo safi sana vijana kwa kurudisha heshima yetu etihad..

FT city 2 - 0 west ham
 
Wenyeji wa mji huu mbona hamuonekani? Wapi ndetichia....hongereni sana naona mpaka sasa mnaongoza ....
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Aguero kwa Hat trick....ManCity 5-0 QPR

4' 50' 65' Aguero

32' Kolarov

70 ' Milner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…