The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Bora hii thread irudi, msimu tulipoteana humu.
Kweli mvumilivu hula mbivu. Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Man City nilikuwa nimekata tamaa msimu uliopita na nilitamani Pep afukuzwe.

Lakini sasa, ile Man City Magoli imerudi tena
 
2msubili Kun magoli.
 
Back
Top Bottom