Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
2msubili Kun magoli.Bora hii thread irudi, msimu tulipoteana humu.
Kweli mvumilivu hula mbivu. Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Man City nilikuwa nimekata tamaa msimu uliopita na nilitamani Pep afukuzwe.
Lakini sasa, ile Man City Magoli imerudi tena
Kumbe hadi hii timu ina mashabiki
NewcastleMan City.
Bingwa wa vikombe vyote msimu huu ni MAN CITY
Dakika ya 40
Man city 2, Napoli 0
Raheem na Gabriel Jesus
Litachafua vipi gazeti wakati cha muhimu ni point 3.Kwanini la Napoli Mona Hujataka Kuliweka ? Au Litachafua Gazeti?
Subili msimu ndio utambue alitengeneza mwenyewe au la?.Labda Atengeze Vyake Mwenyewe
Ombi limetekelezwa mkuu.@Moder Invisible JamiiForums tuwekeeni huu uzi uwe sticky.
Asante sana mkuu,shukran saana.Ombi limetekelezwa mkuu.
Tunaomba radhi kwa kuchelewa kidogo.
Aisee hivi kuna uzi wa manchester city kumbe
Habari zenu mafans wa man city