The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

ngoja nirudi kwenye jukwaa langu pendwa la liverpool...huku cpawez
 
Tetesi
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anammezea mate mchezaji wa safu ya kati wa Shakhtar Donetsk, Fred 24 wakati City wanataka kuimarisha kikosi chao msimu ujao. (Mail on Sunday)
 
Mi chabiki wa city. Lakini ciwezi kuimba kabla ya ngoma.mpira ni mchezo wamakosa.
Wewe sio City, City hata akipoteza mechi 4. ( 12 point loss ) na wapinzani wao washinde zote bado anakuwa anaongoza kwa point 1. sasa turudi kwnye mpira wao. kwa kasi wanayoenda na stail yake mmmmmmmmh unashindwa kukokotoa ubingwa kweli?
 
hata mimi nimeshangaa anaogopa nini
 
Kwa nini mkuu?
Jamaa anaamua kurudi kwenye jukwaa lake la Liverpool maana anashangaa wana citizen kushindwa kukokotoa ubingwa wakati unaonekana.
.Mfano city apoteze mechi hizi hapa chini, na akashinda zilizobakia. bado city bingwa.

.
 
.View attachment 659667
Mkuu mbona nipo tu!! Mi ni City damu damu!!! Na sijahama team nyingine yoyote.
 
Jamaa anaamua kurudi kwenye jukwaa lake la Liverpool maana anashangaa wana citizen kushindwa kukokotoa ubingwa wakati unaonekana.
.Mfano city apoteze mechi hizi hapa chini, na akashinda zilizobakia. bado city bingwa.

.View attachment 659667
Mkuu pekuw majukwaa ya ma team mengine utaona michango yangu. Huko Liver sijawahi hata siku moja.
 
Kama City atashinda leo, atatengeneza gape ya 15 good points. si rahisi sana katika round hii ya pili apoteze mechi tano. draw zitakuwepo lakini City ndiyo bingwa this season
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…