Mbona umetoka kwenye mada kuu? Umesema cty hawana kikombe nimekuuliza kikombe gani unamaanisha?
Ushakimbia kwenye Big tena umeanza kuchambua better na best?Best husibitishwa na makombe mkuu utaniambiaje ni best huna ndoo kwa sasa wako kwenye u better
Better== best
Kwa sasa city wanafanya vizur mno ile sio best team itakuwa best wakitwaa mataj kwa sasa ni better
Mungu asaidie iwe hvyo kiongozi wangu pia gwara mingi sana kwako kwakua mkwel na muwazi bila kujari ushabiki... Najua tukirudi Spain tunaongea lugha moja (Barca on fire) [emoji28][emoji28]Wakuu nyie ndio mabingwa wa kikombe kule EPL mnatisha matokeo ya jana yawe tu changamoto ,tena zingeongozeka hata dakika 3 tu Liverpool angekufa,mna timu imetulia na kizuri zaidi uwanjani mpira wenu ni mkubwa sana ...
Me ni mfuasi wa good football mpira wa M city ni mkubwa sanaMungu asaidie iwe hvyo kiongozi wangu pia gwara mingi sana kwako kwakua mkwel na muwazi bila kujari ushabiki... Najua tukirudi Spain tunaongea lugha moja (Barca on fire) [emoji28][emoji28]
Salute sana mkuu..Me ni mfuasi wa good football mpira wa M city ni mkubwa sana
Sexy football hiyoMe ni mfuasi wa good football mpira wa M city ni mkubwa sana
Mkuu ana niliumia sana kufungwa, ila tulipambana sana na kama muda ungekuwepo wa dakika kama tatu hivi za ziada baasi tungurudi kwenye fomu, Kikosi cha jana kilikuwa kizuri ila sikumuona Silva.Me ni mfuasi wa good football mpira wa M city ni mkubwa sana
Mbona umetoka kwenye mada kuu? Umesema cty hawana kikombe nimekuuliza kikombe gani unamaanisha?
Yeyesi
Mshambuliaji wa Nice Mario Balotelli,27, anataka kuhamia timu kubwa na ameichagua Manchester City kwa uhamisho wa bure. (Daily Mirror)
Ile mechi kocha wa Liver asingefanya sub nina hakika Mancity angeongezwa magoli zaidiWakuu nyie ndio mabingwa wa kikombe kule EPL mnatisha matokeo ya jana yawe tu changamoto ,tena zingeongozeka hata dakika 3 tu Liverpool angekufa,mna timu imetulia na kizuri zaidi uwanjani mpira wenu ni mkubwa sana ...
Man city 3 - 1 newcastlematokeo plz