The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tutakuja kufungika tu. Nina wasiwasi na Man Utd
Mechi ya Man U itakuwa ngumu pande zote, Maana hata Mou anasema wanataka kumsajili Isco ili kuizuia Man City ushindi.
tetesi : (Man Utd want to stop Man City signing Real Madrid star Isco)

9 FEB 2018: Leo Pep amesema atarudi tena kwa Riyad Mahrez kipindi cha joto. maana bado anamkubali sana, japo mabosi wake walikataa dau la Leicester la £95m. (City walitaka isizidi £60m.)
 
Mkuu usajili huo utakuja tukiwa tumeshacheza.
 
Arsenal hawanipi shida sana. Sababu wanacheza soka la kushambulia. Na kwetu ukishambulia 80% unalala tu. Mi naogopa wale wakuvizia.
Ukuta wetu sasa ukishambuliwa sana unavuja ndio tatizo hilo mkuu yani yanakuta game inaisha na magoli mengi, sasa aliemzidi mwenzie magoli ndio mshindi mwenyewe
 
Mi nadhani sababu ni ile yakubadirisha wachezaji kila mechi.
Kikosi kipana sana ndio maana unaona hivyo ....

pia kuna watu waliokua wanaaminiwa wakaanza kuleta upuuzi kama Stones sasa hapo lazima abadilishwe tu...

Kitu kingine majeraha ya wachezaji pia yanachangia kikosi kua kama kinyonga
 
Majeraha hapo ni sawa, lakin amezidi. Safu yetu ya ulinzi bado sana. Kule kuzoweana hakutakuwepo sasa.
 
Wakuu mbona kimya!! Mnakumbuka pambano la leo?
Cc:ndetichia, saharavoice
 
Mambo safi mkuu. Pole na majukumu. Kikosi kimetoka mkuu. Sijajuw kukiweka mkuu. Google Mam City utakiona.

Shukrani chief, kwahyo mfumo ndio huo nilio una kweli au? Mana naona 4.5.1

Ederson

Walker .. Otamend .. Laporte .. Zinchenko

Bernardo.. David silva .. KDB ... Sterling .. fernandinho

Aguero
 
Shukrani chief, kwahyo mfumo ndio huo nilio una kweli au? Mana naona 4.5.1

Ederson

Walker .. Otamend .. Laporte .. Zinchenko

Bernardo.. David silva .. KDB ... Sterling .. fernandinho

Aguero
Mkuu mineona 4 3 3
Eders delph otamen kampany walker
Gud fernand kdb
Ster agu b.silv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…