Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Aguero anajua sana lakini pia siwezi kumbeza KaneDuh, Goli la Aguero la tano,,huyu jamaa hafai aisee,,, nashangaa waingeleza wanavomshabikia Kane kuwa ni foward Matata,,kwa Aguero bado sana
Hahah leo siku imekua nzur sanaKabisa wamepata cha moto