The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hawa Wigan siku zote ni wakamiaji sana hasa wanapocheza na Man City.

Uzuri wa kuweka akiba mapema unamsaidia Man City kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu bila kipingamizi ukichukulia wanaomfuatia wako pointi nyingi nyuma lakini pia hawaaminiki
 
Oya oya oya wakuu humu ndani vipi?

Simnajua leo tunauwasha na Arsenal, au bado mnahasira za Wigan?
 
Half time

Arsenal 0 vs Man cty 1

DK 18. Aguero [emoji460]
Assist Claudio Bravo
 
Oya oya oya wakuu humu ndani vipi?

Simnajua leo tunauwasha na Arsenal, au bado mnahasira za Wigan?
hasira kwa Chelsea tumewapa kazi ya kufanya wameshindwa, jamaa amerudi tena nafasi ya pili. Na tuliemtuma karudi kugombea nafasi ya big 4. yaani yupo chini ya big 4.
 
hasira kwa Chelsea tumewapa kazi ya kufanya wameshindwa, jamaa amerudi tena nafasi ya pili. Na tuliemtuma karudi kugombea nafasi ya big 4. yaani yupo chini ya big 4.
Chelsea michele wale hawawezi kazi wala nn
 
Ah kumbe ni alhamis tarehe 1. kama hakukuwa na final kati ya arsenal na man city leo basi mechi ya leo ingekuwa kwenye ligi.
 
Tetesi

Mlinzi wa Manchester City Aymeric Laporte, 23, anasema alikuwa sawa kukataa ofa ya kwanza kutoka kwa viongozi hao wa Premier League miezi 18 iliyopita. (Sunday Telegraph)


Meneja wa Manchester City Pep Guardiola atawanyima wachezaji wake sherehe ikiwa watashinda mechi ya kombe la Carabao leo Jumapili kwa sababu anataka wawe hali nzuri kwa mechi ya Alhamsia dhihi ya Arsenal huko Emirates. (Independent on Sunday)
 
Tetesi

Manchester City inatarajia kukamilisha usajili wa beki wa Athletic Bilbao Aymeric Laporte wikendi hii. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amebadilisha nia yake baada ya kukataa uhamisho wa kueleka City miezi 18 iliopita.{Mirror}
[emoji15] hadi wewe unatizama mechi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…