Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kwani mie sina macho jamani
[emoji15] hadi wewe unatizama mechi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] hadi wewe unatizama mechi.
Watoto wadogo hao ngoma yao haikeshiManchester city wamemfunga asernal Mungu anawaona.... [emoji16] [emoji51] [emoji119]
Ujue wanawake wengi hawapendi kutizama mpira wa miguu, Nashangaa wewe unatizama mpira [emoji4] [emoji13] [emoji119]Kwani mie sina macho jamani
Roho mbaya tu [emoji16] [emoji51] [emoji119]Watoto wadogo hao ngoma yao haikeshi
Huwajui maneno yao wale kama waimba taarabu yani wangeshinda tusinga kaa kwa amani hapa mjini....Roho mbaya tu [emoji16] [emoji51] [emoji119]
The gunners [emoji13] [emoji1] [emoji119]Huwajui maneno yao wale kama waimba taarabu yani wangeshinda tusinga kaa kwa amani hapa mjini....
Mzee ujuzi umefika ukingoni ila bado wamiliki wanamkumbatia tu kisa anaingizia club pesa mingi sasa mashabiki ndio wanapata tabu, kama jana uwanjani kuna dogo ameonyeshwa analia vibaya mnoThe gunners [emoji13] [emoji1] [emoji119]
Yaani Wenger kwa kweli sioni kazi anayoifanya pale.
Sare jau mkuuChonde chonde fanyeni juu chini mtoe hata sare.
Ndugu yetu ni mgonjwa sana
Msimpige.
Hat trick.
Fresh kiongozi karibu tupo....Wakuu vipi mambo?
Njoo huku na leo tunachezanae tena ktk ligi kuuThe gunners [emoji13] [emoji1] [emoji119]
Yaani Wenger kwa kweli sioni kazi anayoifanya pale.
Asante mkuu. Mtandao unanisumbua sana. Nipo chamba mkuu.Fresh kiongozi karibu tupo....