Yameshakua hayo tena?Sane
0 - 3
Pole sana kiongozi ila huko vijana wako wanauwasha ile mbayaAsante mkuu. Mtandao unanisumbua sana. Nipo chamba mkuu.
saa mingi tuYameshakua hayo tena?
Asante mkuu. Mnaonaje tunaweza kuwapa mkono hawa washika bunduki?Pole sana kiongozi ila huko vijana wako wanauwasha ile mbaya
Hhahah!! Itakua poa sana aseekuna harufu ya goli la nne kabla ya halftime
Mkono unakua ni mgumu kutokana na kwamba wanaweza badili game plan ili kuzuia hiyo fedheaAsante mkuu. Mnaonaje tunaweza kuwapa mkono hawa washika bunduki?
Sidhani mkuu, hawa jamaa mpira wao ndo huu. Ila ngoja tusubirie kipindi cha piliMkono unakua ni mgumu kutokana na kwamba wanaweza badili game plan ili kuzuia hiyo fedhea
Poa kiongoziSidhani mkuu, hawa jamaa mpira wao ndo huu. Ila ngoja tusubirie kipindi cha pili
Jamaa wa arsenal nao wapo vizuri pia. ingekuwa man u wamepigwa tatu dakika 30, wangepoteana ila arsenal wanakaza wanataka ushindi etiMkono unakua ni mgumu kutokana na kwamba wanaweza badili game plan ili kuzuia hiyo fedhea
Sure mkuu naona bado wanapambana kikubwa mabeki wetu wazidishe umakini tuJamaa wa arsenal nao wapo vizuri pia. ingekuwa man u wamepigwa tatu dakika 30, wangepoteana ila arsenal wanakaza wanataka ushindi eti
Kitu Asernal wanaweza kufunga kwa sasa ni kufunga mdomo tu.Wanapata tuta Aubamayoung anakosa asee kipa wetu anaibuka shujaa
City anacheza kukwepa majeruhi.Wanapata tuta Aubamayoung anakosa asee kipa wetu anaibuka shujaa
Anamechi jumapili na Chelsea, kwahiyo lazima awe mwangalifu na mipira ya kugombania, chenga,City anacheza kukwepa majeruhi.
Inawezekana ikawa kweli ila kutanguliza akiba ya kutosha kama hile huwa ni nzuri sanaCity anacheza kukwepa majeruhi.
Dooh mbona game ngumu zimefatana sanaAnamechi jumapili na Chelsea, kwahiyo lazima awe mwangalifu na mipira ya kugombania, chenga,
Umeshatembelea emirates? ngoja niende huko maramoja.Dooh mbona game ngumu zimefatana sana