Hii timu imekuwa na mashabiki toka lini?
HahahahTaratiibu man,huon boss(mleta uzi hapo ni staff member) utakula ban kumsingizia mhamiaji toka arsenal
Hahahah
Ye mwenyewe anajijua kuwa ni bandwaggon.
Sidhani kama ata nifungia
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama hatakufungia ataedit comment yako hahahaha
Imeanzishwa toka lini?Hii timu imekuwa na mashabiki toka lini?
Mawazo yako.Au mme hamia kutoka Arsenal?
Wengiwamehama toka sevillaAu mme hamia kutoka Arsenal?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengiwamehama toka sevilla
Imeanzishwa 2009 na pesa za waarabuImeanzishwa toka lini?
Inavikombe vingapi? Imevichukuw mwaka gani na mwaka gani? Wew naona unajuw historia yake vizuri.Imeanzishwa 2009 na pesa za waarabu
The oil money
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Timu zilizo pita zije tu maana tuajipima uwezo kwa kupambana na si kijichagulia mnyonge
Wakuu kesho nadhani ndo kutafanyika droo mungependa tupangwe na team gani? Team gani ambao hampendi tukutane nao?
Sawa ngoja tusubilie kesho nadhani itakuw kwenye saa 7.[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Sawa Mkuu usihofu timu zilizo pita ni za kawaida sanaSawa ngoja tusubilie kesho nadhani itakuw kwenye saa 7.
Haya mimi naona tuna uwezo wakucheza na team yoyote tu.Sawa Mkuu usihofu timu zilizo pita ni za kawaida sana
Sijaona timu tishio
Pamoja mkuuHaya mimi naona tuna uwezo wakucheza na team yoyote tu.