Pole jaman.Nikweli mkuu tupo katika hali nzuri sana kwa sasa labda hapo baadae mambo yabadirike tu
Asante sanaPole jaman.
Huyo jamaa sijui kapotelea wapi tu asee mwenyewe namtafuta sana ndugu yangu katelekeza jukwaaKayeke kakimbia jukwaa aisee siju nae ni shabik wa kukodi?
Unalakusema hapoPenart ya Madrid vs Juve sijaielewa pia wakuu
Doh.....!! subiri niywe maji mkuu, umenielewesha vizuri sanaUnalakusema hapoView attachment 742276
Unalakusema hapoView attachment 742276
Tumetoka kihalali kabisa. Na nimeamua kuishabikia liver kwenye ucl. Maana ndio timu pekee walioiweza mancity. Halafu hawana makelele kama jirani zetu wa jina. Ila madrid alipendelewa kabisa.Jirani Liva alipendelewa hujatoka kihalali
AaahTumetoka kihalali kabisa. Na nimeamua kuishabikia liver kwenye ucl. Maana ndio timu pekee walioiweza mancity. Halafu hawana makelele kama jirani zetu wa jina. Ila madrid alipendelewa kabisa.
Acha wapigwe wamezidi uzembeYaani vijana wa LONDON, Arsenal, chelsea na spurs wote wamepigwa nje ndani na Man City
mimi sio liver. mimi city. kwasasa naipa support liver kwenye ucl japo aliniharibia siku. unasema madrid atamfunga liver? watakutana wapi? au friendly match ? Liverpool atakuwa na bayan fainali.Aaah
Madrid tulishinda kihalali
Na sas tutakufunga tena na liva yako