Hahah mpira ni kati ya michezo isiyokua na huruma mkuu ukipata chance unaweka tu pia ata magori yanasaidia kutoa maamuzi endapo points zitalinganaNyie jamaa mnapenda sifa sana, kwani goli 2 si zinatosha!
Mpaka muwaharibie wenzenu kazi ndo mfurahi.
hahahUsi mind sana baba ake...
Asante sana mkuu ila wewe pia game yako ilikua nzuriHongereni kwa ushindi wakuu
Ndio hivyo na mpira ndivyo ulivyo mkuuAsante sana mkuu ila wewe pia game yako ilikua nzuri
Utasubiri sana mkuuManchester city mtashuka tu hapo juu
Leo nimekununulia jenzi ya City.Mkichukua ubingwa tena nakuwa shabiki wenu
Asante Chief naona ile game ya kwanza tulitereza tuHongeren kwa ushindi wa champions league jana wakuu
Kabisa hata mimi nilishangaa mkaniharibia na mkeka wanguAsante Chief naona ile game ya kwanza tulitereza tu
Tuwie radhi mkuuKabisa hata mimi nilishangaa mkaniharibia na mkeka wangu
Niliwalaani kinoma
Tupo mkuuWenyeji wako wapi humu!
Hahah! tupo tunaifatilia game kwa makiniHumu Mpaka mshinde ndio mnaonekana