Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hahah mpira ni kati ya michezo isiyokua na huruma mkuu ukipata chance unaweka tu pia ata magori yanasaidia kutoa maamuzi endapo points zitalinganaNyie jamaa mnapenda sifa sana, kwani goli 2 si zinatosha!
Mpaka muwaharibie wenzenu kazi ndo mfurahi.