moses sam kolowa
Member
- Jul 19, 2018
- 68
- 58
wame ongeza 2 1 tumefungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usihame mada ninyi na spurs mna mashabiki wachache zaidi kwa top six...Kongwe ni ipi. Kwenye epl. Timu namba 1 mpaka 20. Zote ni timu bora.
Wewe upo wapi mkuu. Spar inamashabiki wengi sana au wewe unaongelea mashabiki wa aima gani? Kwann usiseme simba au yanga inamashabiki wachache. Mashabiki wa spars duniani ni wengi kuliko hao wa simba na yanga. Wewe kuijua spars leo haimaanishi imeanza leo. Mtaani kwangu mashabiki wa city ni wengi sana. Kama hapo mtaani kwako au mji wako hakuna mashabiki wa city haimaanishi ndio kila mahali hakuna mashabiki wa city. Au wewe mashabik wengi ni wa timu gani labda? Hukawii kusema Hiffenheim haina mashabiki kisa wewe ulikuwa huijui.Usihame mada ninyi na spurs mna mashabiki wachache zaidi kwa top six...
Sisi hatujawai lalamika ukimya wa jumwaa letu. Maana tunajua hatujaboronga. Jukwaa lipo kimya halina madogo ndo furaha yetu. Hivi unajua kuwa Man U ni most popular club in the world na wapo nafasi ya 7.epl. unafimiri mashabiki wengi kiasi hicho wapo kwenye hali gani? Kuwa popular au kuwa na mashabiki wengi halafu mpo nafasi ya 7. Mancity yupo top halafu wewe unaumia. Na hatutoki hapo. Kesho njoo na misamiati mingine ila hapo city hatoki. Halafu nyinyi rika lenu ni chelsea na arsenal. Huku mnakuja kutuchokozea nn?Kwan mi ndo nimelalamika kuhusu ukimya wa jukwaa?!!...
Nadhani hujanielewa au la sivyo unakaza mbongo bure.... Mm nimecompare spurs na city kwa timu nyingine za top six au hajaona nilivyoandika hapo??... Halafu unaleta habari za simba na yanga kwa spurs kitu ambacho cjui umekurupuka nacho wapi.... We Huoni spurs ni worldwide tofauti na simba na yanga au ndo unaandika huku unaota.... U'r still a middle class team though your good performance recently....Wewe upo wapi mkuu. Spar inamashabiki wengi sana au wewe unaongelea mashabiki wa aima gani? Kwann usiseme simba au yanga inamashabiki wachache. Mashabiki wa spars duniani ni wengi kuliko hao wa simba na yanga. Wewe kuijua spars leo haimaanishi imeanza leo. Mtaani kwangu mashabiki wa city ni wengi sana. Kama hapo mtaani kwako au mji wako hakuna mashabiki wa city haimaanishi ndio kila mahali hakuna mashabiki wa city. Au wewe mashabik wengi ni wa timu gani labda? Hukawii kusema Hiffenheim haina mashabiki kisa wewe ulikuwa huijui.
Kwan nan Man Utd... Umevurugwa??Sisi hatujawai lalamika ukimya wa jumwaa letu. Maana tunajua hatujaboronga. Jukwaa lipo kimya halina madogo ndo furaha yetu. Hivi unajua kuwa Man U ni most popular club in the world na wapo nafasi ya 7.epl. unafimiri mashabiki wengi kiasi hicho wapo kwenye hali gani? Kuwa popular au kuwa na mashabiki wengi halafu mpo nafasi ya 7. Mancity yupo top halafu wewe unaumia. Na hatutoki hapo. Kesho njoo na misamiati mingine ila hapo city hatoki. Halafu nyinyi rika lenu ni chelsea na arsenal. Huku mnakuja kutuchokozea nn?
Hawa jamaa tumeshindwa kabisa kutamba dhidi yao maana game ya kwanza tumekaa home, na kwao tumeponea chupuchupuft Lyon 2 - 2 Manchester City
He were once Vs Arsenal, Juventus (big influence on a second goal) and the list can very longVs Young boys 😀😀😀😀
And a list can be very longHe were once Vs Arsenal, Juventus (big influence on a second goal) and the list can very long
Poa jirani hongera bhanaHe were once Vs Arsenal, Juventus (big influence on a second goal) and the list can very long
Kumbe wewe sio man u. Ndo maana huna matusi. Hingera sana.Kwan nan Man Utd... Umevurugwa??
Hawa jamaa mechi ya jana ilikuwa kama fainali. Maana wanakutana na ambae anatafuta nafasi ya kupita. Tofauti na sisi mechi mbili tunahitaji tu droo. Hata ingekuwa ni city ndio anatafuta nafasi ya kupita mchezo ungekuwa na matokeo ya ushindi tena mkubwa. Rejea wenzetu Man u vs Juve. Ile mechi ilikuwa ni fainali kwao.Hawa jamaa tumeshindwa kabisa kutamba dhidi yao maana game ya kwanza tumekaa home, na kwao tumeponea chupuchupu
Man city alichotakiwa ni ku qualify kuingia last 16. Na hapo hapo aweze ku maintain level yake kwenye epl. Awe home ama away. Vilevile aepuke majerui. Kuna watu wanaichukia city ila msimu huu ni wake. Anachukua UEFA na asipochukua basi Pep hatachukua tena.Hawa jamaa tumeshindwa kabisa kutamba dhidi yao maana game ya kwanza tumekaa home, na kwao tumeponea chupuchupu
Pamoja mkuuPoa jirani hongera bhana
Nimekupata vyema mkuu wanguHawa jamaa mechi ya jana ilikuwa kama fainali. Maana wanakutana na ambae anatafuta nafasi ya kupita. Tofauti na sisi mechi mbili tunahitaji tu droo. Hata ingekuwa ni city ndio anatafuta nafasi ya kupita mchezo ungekuwa na matokeo ya ushindi tena mkubwa. Rejea wenzetu Man u vs Juve. Ile mechi ilikuwa ni fainali kwao.