The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Leo naona wazee wa Sarri Ball wamewapiga wazee wa Pep Ball
 
Wee Sheikh Yahaya Chelsea ana nini...?
 
Kasi yenu inanitisha Sana, Leo nilikua nawaombea unachotuombea Sasa hivi lakini mmepata ushindi mzuri Sana, naimani ata sisi ndio itakua hivyo hivyo

Poleni wakuu, unbeaten imebaki moja tu kwenye ligi na ndo inaongoza ligi.

Mtatukuta game ya Man Utd most probably.
 
Tulicheza vizuri sana. Tulipata chances nyingi na tukazipiteza. Jamaa wapo vizuri sana hapo nyuma. Hatukuweza kufurukuta kwenye 18 yao. Nawapongeza sana. Kufungwa kwetu leo hakukuwa kwa bahati mbaya ila tulizidiwa kwenye kumalizia. Tulupata kona 10 maana yake ni kuwa tulijaribu sana ila walitubana. Jamaa ni warefu na mipira ya juu wanaijua.
 
Tz hakuna shabiki wa Man City
Mtuambie hili genge lenu lilitoka wap?
Kwahiyo TV kuna shabiki wa nn? Na hao mashabiki wanoshabikia hizo timu zako wametoka wapi. Embu tuache kwanza tumefungwa leo. Bora tungefungwa na Man U, Arsenal au Liverpool. Hawa jamaa wana kelele sana.
 
Hahahahahha leo umekuja geto mwenyewe..

Arsenal alikutongoza ukagoma..
Man united ukagoma...
Liverpool ukagoma...
Chelsea kiulaiiiniii kajilia mzigo..

Hahaha ni utani tu mazee...
 
Tz hakuna shabiki wa Man City
Mtuambie hili genge lenu lilitoka wap?
Hahahaba fans wengi wa man city walikuwa Liverpool ..kipind kile msimu wa 2010/2011 mnaboronga ndo man city alikuwa anaibuka ibuka ..kwa iyo waka jimuvuzisha na kuja city..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…