moses sam kolowa
Member
- Jul 19, 2018
- 68
- 58
Cha tat dkk60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ibariki City
Amna anaepigwa apa mbona wanov tu wolves awez si tushindweLeo na nyie mpigwe aisee, angalau hata mtoe droo.
Maana mmezidi sifa.
Amna anaepigwa apa mbona wanov tu wolves awez si tushindwe
Sisi tulipata droo akuna Tim kubwa yakuifunga nyi bado amjakutana nae subilin kipigoKwani Wolves mlitoka naye vipi?
Sisi tulipata droo akuna Tim kubwa yakuifunga nyi bado amjakutana nae subilin kipigo
Ikiwa hivyo nitafurahi Sana ila kwa Sasa naogopaga kutanguliza kauliakuna ugum wowote ao Leo wenakula 3 za nguv
Kasi yenu inanitisha Sana, Leo nilikua nawaombea unachotuombea Sasa hivi lakini mmepata ushindi mzuri Sana, naimani ata sisi ndio itakua hivyo hivyoLeo na nyie mpigwe aisee, angalau hata mtoe droo.
Maana mmezidi sifa.
Kasi yenu inanitisha Sana, Leo nilikua nawaombea unachotuombea Sasa hivi lakini mmepata ushindi mzuri Sana, naimani ata sisi ndio itakua hivyo hivyo
Ni swala la muda mkuu ngoja tusubiri tuone kama Dua zako zitapokelewa au Dua zetu watu wa City...Yenu ni big match, na Chelsea tulidroo nao. Nawaombea droo ili tubalance matokeo. Maana najua Wolves tutawanyoosha ila Man Utd sina uhakika nao.
Ni swala la muda mkuu ngoja tusubiri tuone kama Dua zako zitapokelewa au Dua zetu watu wa City...
😀😀Ila mkishinda haiumizi sana, nitahamia jukwaa la Chelsea fasta kuomboleza msiba.
HT
Chelsea 1 vs 0 Man City
Hahah!! Unauhakika jirani?Hongera jirani hope ka mechi kataisha mapema. One kwa nunge