The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kasi yenu inanitisha Sana, Leo nilikua nawaombea unachotuombea Sasa hivi lakini mmepata ushindi mzuri Sana, naimani ata sisi ndio itakua hivyo hivyo

Yenu ni big match, na Chelsea tulidroo nao. Nawaombea droo ili tubalance matokeo. Maana najua Wolves tutawanyoosha ila Man Utd sina uhakika nao.
 
Another day Another record.


●●●Mo Salah with his perfect hat-trick anajiwekea record ya kuwa FASTEST PLAYER IN LIVERPOOL HISTORY kufunga 40goals in EPL kwa few games[emoji95] katumia only 52 games kufanya ivo[emoji123]

●●●katika historia ya PREMIER LEGUE ni ALAN SHEARER & ANDY COLE ndo wako juu yake kwa kufunga 40goals with 45 games that means Mo salah he is king of new generation[emoji23].


FAN FACT[emoji871]
●●●Thiery Hennry ametumia game 73 wakamuita king, Aguero akatumia 70 game wakasema mguu wa dhahabu, Diego Costa akatumia 64 game wakasema analijua sana goal, torres akatumia 60 games wakamuita ElNINO but MO SALAH katumia 52 goal wanamuita ONE SEASON WONDER [emoji23][emoji23][emoji23] hili nalo likawekwe katika kitabu cha maajabu ya dunia GUINESS
 
BeautyPlus_20181208195025011_save.jpg
 
Tumecheza vizuri nafasi tumezipoteza ila Chelsea wameitumia hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom