Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Hahah itakuaHahahaha. Watakuw wameshamzalilisha mbere ya watoto wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah itakuaHahahaha. Watakuw wameshamzalilisha mbere ya watoto wake
Hahah! Mkuu hii 4 3 3 nimeielewa Sana pia nimefurahi kumuona Lukaku Bolingoli hapo namba 9Manchester United 1st 11
De gea
[emoji243] [emoji243] [emoji243] [emoji243]
[emoji243] [emoji243] Pogba
Martial [emoji208] [emoji243]
Melese huyo jamaaPole sana sisi ndyo THE CITIZENS
Balaa hili lipite mbaliNaona UEFA wanawachunguza, baada ya kugundua kilichotumika ktk usajili ni kikubwa kuliko kilicho ingia ktk club na mkigundulika City mwakani hachezi UEFA hata akiwa bingwa kwani nafasi yake itachukuliwa na timu itakayoshika nafasi ya 5.
Msalimie ChelseaMmebahatisha unajua team yenu inazid kuporomoka kiwango though mnashinda. Kwa mpira huu jmos mkikutana na chelsea mtauliwa
Mungu atasaidia.Balaa hili lipite mbali
AminMungu atasaidia.
Kuna wakati ninatamani ligi iishe hata leo ili Man City apewe ndoo yake. Hao wengine wataongea sana. Nimeshangazwa sana na ushangiliaji wa Klopp kwa ushindi dhidi ya Everton kama imetwaa ubingwa wa EPL!Bora ashinde Man City mkuu, hawa wakishinda hicho kidomodomo chao itakuwa ngumu hata kucheki message au kupokea simu au kufungua thread za mpira humu
PSG wanaongoza ligi isiyokua na ushindani. Kumbuka miaka ya nyuma EPL ilikua ligi ya timu 2 Man Utd na Arsenal, baada ya Abramovic kuinunua Chelsea nayo ikaingia kwenye orodha ya timu shindani na sasa kuna Man City, Liverpool na Spurs. PSG ni sawa na Bayern kule Bundesliga.Hamna tofaut na PSG kwenyr lig wazur njoo ss kwenye lig za nje wabovu kupita maelezo
Umemaanisha NiniNimefurai kuwa humu, am a Manchester city nut(nguli)
*Manchester is blue*
Come on city
Mhhh itakua ulianza kuangalia soka miaka ya hivi karibuni, man u na Liverpool ndo timu zenye mafanikio kuliko timu zozote eplPSG wanaongoza ligi isiyokua na ushindani. Kumbuka miaka ya nyuma EPL ilikua ligi ya timu 2 Man Utd na Arsenal, baada ya Abramovic kuinunua Chelsea nayo ikaingia kwenye orodha ya timu shindani na sasa kuna Man City, Liverpool na Spurs. PSG ni sawa na Bayern kule Bundesliga.
Nmemaanisha mm n shabik mkubwa wa city sema sikuwaga na smartphone.Umemaanisha Nini
Hata ingekuwa wewe lazima ungeshangilia ule muujiza. Ule mpira ungetoka nje basi na mpira ungeishia pale. Angetoka na point 1.Kuna wakati ninatamani ligi iishe hata leo ili Man City apewe ndoo yake. Hao wengine wataongea sana. Nimeshangazwa sana na ushangiliaji wa Klopp kwa ushindi dhidi ya Everton kama imetwaa ubingwa wa EPL!
Waeleze hao. Tungekuwa nafasi ya 7 au 8 wasingekuwa wanatujadili. Wanatujaduli kwakuwa tumu haikuwa inafanya vema na sasa wanafanya vema. Wanaacha kujadiliana wao kama walivyozoea sasa wanaamia kuijadili mancity.Nmemaanisha mm n shabik mkubwa wa city sema sikuwaga na smartphone.
Sasa huduma kama hz za kuichambua na kuiongelea timu yng Nilkuw nakosa.
Niwapongeze humu ndani nyinyi mnayofuraha kubwa kuliko mashabiki wa Liverpool, hawajawai kuona team yao ikibeba epl Live, wameshuhudia uefa 1 ,msikate tamaa mmechagua fungu jema