The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester United 1st 11

De gea

[emoji243] [emoji243] [emoji243] [emoji243]

[emoji243] [emoji243] Pogba

Martial [emoji208] [emoji243]
Hahah! Mkuu hii 4 3 3 nimeielewa Sana pia nimefurahi kumuona Lukaku Bolingoli hapo namba 9

😂😂😂😂😂
 
Hofu imetanda baada ya kuelezwa klabu ya Manchester City inaweza kuneguliwa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.

Kocha Pep Guardiola, ambaye ameiwezesha timu hiyo kujihakikishia tiketi ya hatua ya 16 bora alisema litakuwa pigo la aina yake kwao, iwapo wataenguliwa katika michuano hiyo.

Gazeti la Der Spiegel la Ujerumani limesema kuwa uchunguzi mkali unaendelea ukimuhusisha bosi wa Shirikisho la soka la Kimataifa (Fifa) Gianni Infantino kwamba aliisaidia Man City kukiuka kanuni za muongozi wa matumizi ya fedha za usajili (FFP).

Ilifichuliwa kuwa Infantino alitumia kofia yake ya Rais wa Shirikisho la soka Ulaya (Uefa) kuilinda Man City isiadhibiwe wakati ikichunguzwa kwa kukiuka kanuni za FFP.

Gazeti hilo limedai kuwa mmiliki wa klabu hiyo Sheikh Mansour, alifanya udanganyifu kwa kumtumia mgongo wa mdhamini wa klabu hiyo kuficha ukweli na kukwepa kuadhibiwa Uefa

Hata hivyo tayari Uefa imefungua uchunguzi mpya dhidi ya bilionea huyo na klabu yake kwa ujumla unaotarajiwa kuanika hadharani hivi karibuni.
 
Naona UEFA wanawachunguza, baada ya kugundua kilichotumika ktk usajili ni kikubwa kuliko kilicho ingia ktk club na mkigundulika City mwakani hachezi UEFA hata akiwa bingwa kwani nafasi yake itachukuliwa na timu itakayoshika nafasi ya 5.
 
Balaa hili lipite mbali
 
Nimefurai kuwa humu, am a Manchester city nut(nguli)

*Manchester is blue*
Come on city
 
Bora ashinde Man City mkuu, hawa wakishinda hicho kidomodomo chao itakuwa ngumu hata kucheki message au kupokea simu au kufungua thread za mpira humu
Kuna wakati ninatamani ligi iishe hata leo ili Man City apewe ndoo yake. Hao wengine wataongea sana. Nimeshangazwa sana na ushangiliaji wa Klopp kwa ushindi dhidi ya Everton kama imetwaa ubingwa wa EPL!
 
Hamna tofaut na PSG kwenyr lig wazur njoo ss kwenye lig za nje wabovu kupita maelezo
PSG wanaongoza ligi isiyokua na ushindani. Kumbuka miaka ya nyuma EPL ilikua ligi ya timu 2 Man Utd na Arsenal, baada ya Abramovic kuinunua Chelsea nayo ikaingia kwenye orodha ya timu shindani na sasa kuna Man City, Liverpool na Spurs. PSG ni sawa na Bayern kule Bundesliga.
 
Mhhh itakua ulianza kuangalia soka miaka ya hivi karibuni, man u na Liverpool ndo timu zenye mafanikio kuliko timu zozote epl
 
Niwapongeze humu ndani nyinyi mnayofuraha kubwa kuliko mashabiki wa Liverpool, hawajawai kuona team yao ikibeba epl Live, wameshuhudia uefa 1 ,msikate tamaa mmechagua fungu jema
 
Kuna wakati ninatamani ligi iishe hata leo ili Man City apewe ndoo yake. Hao wengine wataongea sana. Nimeshangazwa sana na ushangiliaji wa Klopp kwa ushindi dhidi ya Everton kama imetwaa ubingwa wa EPL!
Hata ingekuwa wewe lazima ungeshangilia ule muujiza. Ule mpira ungetoka nje basi na mpira ungeishia pale. Angetoka na point 1.
 
Nmemaanisha mm n shabik mkubwa wa city sema sikuwaga na smartphone.
Sasa huduma kama hz za kuichambua na kuiongelea timu yng Nilkuw nakosa.
Waeleze hao. Tungekuwa nafasi ya 7 au 8 wasingekuwa wanatujadili. Wanatujaduli kwakuwa tumu haikuwa inafanya vema na sasa wanafanya vema. Wanaacha kujadiliana wao kama walivyozoea sasa wanaamia kuijadili mancity.
Kama pep atakuwa hapo basi wajue atawatesa sana.
 
Niwapongeze humu ndani nyinyi mnayofuraha kubwa kuliko mashabiki wa Liverpool, hawajawai kuona team yao ikibeba epl Live, wameshuhudia uefa 1 ,msikate tamaa mmechagua fungu jema

Unawezaje kupima furaha ya kundi fulani?

Okay, kwa miongo mitatu Man Utd ndo kachukua mara nyingi, lakini ndani ya hii miaka ya karibuni hawajafanya vizuri, ila kwa mtazamo wako wao ndo wenye furaha zaidi siyo?
 
Back
Top Bottom