The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

GettyImages-1079815010-1024x685.jpg
 
Ila vijana siku hizi wanatukazia sana maana huu ushindi mwembamba hivi hatujazoea sisi
 
Ila vijana siku hizi wanatukazia sana maana huu ushindi mwembamba hivi hatujazoea sisi

Lazima iwe hivyo sababu timu zote ndogo huwa zinabadilisha First eleven kwa kiasi kikubwa(Usajili wao huwa mkubwa sana(sura nyingi mpya), Promotion za academy zao+influx ya loanees kutoka timu kubwa) sasa baada ya round ya kwanza ya ligi wachezaji washaelewana tayari na hapo ndipo utamu wa ligi ndipo unapoanzia
 
Man city amerudi juu, na sio kwa tofauti ya magili kama ilivyokuwa awali bali kwa tofauti ya points, mambo ya game ya mkononi hakuna. City ndie bingwa wao. Liverpool kapoteza mechi moja tu, Ten kwa mancity ila all in all yupo chini yetu. Bigup kocha wangu, wachezaji wa mancity pamoja na washabiki wote ulimwenguni.
 
AHhahahahaha

Majanga huko , huyu mjerumani akishindwa kuchukua ndoo msimu huu naona aondoke tu
Nilijua game yenu itakua ngumu mana huyo jirani yako huwa anakukazia sana....

Mpeni tu muda kocha......
 
Nilijua game yenu itakua ngumu mana huyo jirani yako huwa anakukazia sana....

Mpeni tu muda kocha......

Muda upi huo tena? Au sikuelewi?

Kocha huyu huu ni msimu wake wa nne, misimu zaidi ya minne tukusubirie wewe tu?
 
Back
Top Bottom