The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Unajua mmeshabadili makocha wengi lakini huyu ameonesha ana kitu......

Top4 uhakika kila msimu
Ushindai wa nguvu na bingwa
UEFA mixer kufika adi final


Mkuu ikiulizwa ni zipi timu mbili kubwa na kongwe EPL basi jibu ni Liverpool na Man Utd tu

Sasa miaka 30 inapita timu ni timu kubwa na tena kongwe zaidi maana Kabla ya mwaka 1992 Liverpool ndio alikuwa ana makombe mengi ya ubingwa Uingereza (18 for Liverpool and 7 for Red Devils by that time) hujachukua ubingwa kweli? Miaka thelathini kabisa mikono mitupu na wewe ni moja ya timu mbili kubwa kabisa racing for those thirty years katika hiyo ligi?

Top Four ni priority ya timu kama Arsenal au Tottenham na sio Liverpool FC ambayo kwa ukongwe na mafanikio katika EPL basi Liverpool ndio kongwe kabisa pale Uingereza kuzidi klabu yeyote ya kiingereza
 
"The blue moon light "

Nafikili kwa game tisa zilizobaki tunaweza kushinda zote bila hata tatizo kwa sababu nyingine forexample

FIRST

man city wanajiamini yaani tunaenda na msemo mmoja tu uwanjani "yes we do"

SECOND

mpira kwetu sio vita so, tunacheza tunavyoweza "always look city touch only"
yaani simple way of play

THIRD

Anaetufata hana kiu ya ubingwa hadi mwisho sasa kaingia baharini daa

"ONE TROPHY DOWN"

#city of manchester
#calvin power
#all fans of city

YOU NEVER WALK WITH ETIHAD FANS

Cityzen chairman am here
 
ooh pep I don't see the reason why you should not retire at city.Ni vigumu kupata kocha kama wewe
 
Tatizo sisi wa rz tukishindwa runakimbilia kwenye ukongwe. Footbal is now my friend, ukongwe wako chukua kombe basi? Wewe utabaki kilasiku ukongwwe ukongwee.
 
Kweli timu inaweza ikawa ni kongwe na ilikua inafanya vizuri lakini katika kila kitu kuna ile rise and fall sasa unachotakiwa kukubali nikua timu yako ilianguka tena anguko takatifu, kama utakumbuka miaka fulani hapo nyuma ata top 4 tu kuiona ilikua ni shughuli......

Sasa ili kurejea katika huo ubora mliokuanao zamani hamuhitaji kuangalia kigezo cha ukongwe wenu bali mnatakiwa kuangalia Soccer linaendaje muda tulionao sasa na mabadiliko ni process that why nakuambia endeleeni kumpa muda kocha wenu....
 
Wakuu hivi mnamfatiliaga huyu dogo kwa ukaribu?
 


Hapana mkuu, hawa makocha tuliopata kuwapatia timu yetu ni magarasa

Huwezi niambia kwa timu kongwe na tajiri katika nafasi ya tatu pale EPL eti kushiriki UEFA ni mafanikio makubwa
 
Hapana mkuu, hawa makocha tuliopata kuwapatia timu yetu ni magarasa

Huwezi niambia kwa timu kongwe na tajiri katika nafasi ya tatu pale EPL eti kushiriki UEFA ni mafanikio makubwa
Kama ikitokea Klopp kapigwa chini ni kocha gani wewe unahisi akija pale Unfield atawapa mnachokitaka?
 
Kama ikitokea Klopp kapigwa chini ni kocha gani wewe unahisi akija pale Unfield atawapa mnachokitaka?

Makocha wenye uwezo wako wengi vibaya mno

Kuna Laurent Blanc, Slaven Bilic, Nuno, yule aliefukuzwa Real Madrid kabla hajaja Solari, kuna Valverde akitoka Barca, Sarri akifukuzwa Chelsea na wengine kibao
 
Makocha wenye uwezo wako wengi vibaya mno

Kuna Laurent Blanc, Slaven Bilic, Nuno, yule aliefukuzwa Real Madrid kabla hajaja Solari, kuna Valverde akitoka Barca, Sarri akifukuzwa Chelsea na wengine kibao
Sawa mkuu ngoja tuombe uzima ili tuone kama ni kweli mana najua Klopp hatokaa hapo milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…