Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,300
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm hawa atletico nawaogopa kuliko hao juve. Bora watoke tu. Natamani tupangiwe man u.Huko upande wa pili ni buriani Simeon niagieni Atletico [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukosi kuwa shabiki wa kuku wewe subiri kesho Bayern wawa tembeze uchi.
Hivi tunapiga mtu week bado unaujasiri wakusema tunabebwa nilikwambia leo usilale uangalie vizuri kazi inayo fanywa na wanaume. Sasa tofautisha wanaume na wavulana.Uefa wanawabeba sana . Njia tulizopita tang makund hampit nyie
Amen
Woiiiiii hii ni basketball au football?Man City 7-0 Schalke (10-2 agg): Sky Blues reach last 8 with RUTHLESS CRUSHING
Hakuna timu inayotaka kukutana na City kwa sasaRecord breakers, City watu wana hasira na sisi sana kwa ushindi wa jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Woiiiiii hii ni basketball au football?
Na tunapoelekea ni pabaya zaidiHii VAR inachelewesha utamu wa mpira, kusubiri kama ni goli ama la, kusubiri kama ni penalt ama la inapoteza muda. Italeta sana shida hapo kwenye epl next season. Marefa wanakuwa kama hawana maamuzi, wataichoka.
Ni kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaan kuna club mbili zina roho mbaya BARCA NA MAN CITY hawa ukiwaingia vibaya........ Wanakupiga hata goli 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka sana iiBreak news! Shalke 04 Switched the name now called Shalke 07 [emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia kijana mwaka Jana tumekupiga nje ndani,mwaka huu tulikupa Tatu mzuka hapo hapo Emirates .ushindi mmoja unakupa jeuri gani ya kuingea hivyo !?