Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Mimi huwa nafatilia ata game za timu ndogo mana jamaa wanatoa burudani sanaYes, mapenzi ya ligi yanakuja kwa sababu unajikuta unataka kuziona timu ulizozoea kuangalia zikipambana.
Mimi La Liga naangalia big games peke yake, bora hata msimu huu competition imekuwa kubwa kiasi tofauti na miaka ya nyuma.
Maana ilikuwa Barca anacheza na Real Betis unajua hapa naenda kuangalia atafunga mangapi, lakini msimu huu timu za chini zinakaza.
Kuna kipindi La Liga imedominate UEFA, unakuta Barca, Real Madrid, Atletico Madrid, Sevilla, Valenci: lazima 3 au 4 zinaingia quarter finals.