The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mimi huwa nafatilia ata game za timu ndogo mana jamaa wanatoa burudani sana
 
Mimi huwa nafatilia ata game za timu ndogo mana jamaa wanatoa burudani sana

Sema uzuri wa La Liga game zimepishana tofauti na EPL, kuna game unatamani kuziangalia ila hazioneshwi au muda unaingiliana.

Kama sasa hivi kuelekea mwisho wa msimu kuna burudani sana kwa zile timu zinazokwepa kushuka daraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…