HahahahahahahahahAwa brighton walivyocheza leo.
Kama wangekuwa wanacheza na timu kama liver .
Basi isingepata ata goli moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Awa brighton walivyocheza leo.
Kama wangekuwa wanacheza na timu kama liver .
Basi isingepata ata goli moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo hapa ni takuwa kocha mcezaji kabisaEbwana mkuu wakat kama huu tunapoelekea kuchukua ubingwa.
Ukiwa kama captain mtarajiwa tunahitaj amsha amsha zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Draw ya nini bora tufungwe na hatujawai kususia kombe wakati tunauhakika kuwa tunalichukuaHahaha, umenichekesha hapo kwenye kuitaja Liver.
Ngoja mtoe droo na Crystal Palace next weekend tuanze kuongea lugha moja tena.
[emoji2] [emoji2] aya mkuu tuna break fupiNipo hapa ni takuwa kocha mcezaji kabisa
Man city juuuu
PEP " I KNOW LIVERPOOL WOULDN'T LOOSE ANY POINT"THUS WE NEED TO WIN EVERY GAMEHahaha, umenichekesha hapo kwenye kuitaja Liver.
Ngoja mtoe droo na Crystal Palace next weekend tuanze kuongea lugha moja tena.
Mkuu huu msimu mnaniumiza kichwaHahaha, umenichekesha hapo kwenye kuitaja Liver.
Ngoja mtoe droo na Crystal Palace next weekend tuanze kuongea lugha moja tena.
Kuku wasingeuweza huo mziki walai.Awa brighton walivyocheza leo.
Kama wangekuwa wanacheza na timu kama liver .
Basi isingepata ata goli moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu
Darvet atakuwa yupo honeymoon[emoji2] [emoji2]Humu ndani naona sasa hivi kumenoga, Davet simwoni humu siku hizi.
Hongereni wakuu, naona mmetinga Final ya Pili mwaka huu.
Wolves. Nuno yupo seriazi sana msipokaza fainal mnaeza mkamkabidhi kombe
Huwezi amini uyu watford karudisha goli zote wapo extra timeWolves. Nuno yupo seriazi sana msipokaza fainal mnaeza mkamkabidhi kombe
Sent using Jamii Forums mobile app