The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

07d71992-679f-468a-b61e-9f7370f2dc95.jpeg
c8979856-84c2-46db-be9a-019471ba2d30.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laporte anaongoza kwa pasi nyingi eufa.
Stones akiwa more accuraty kwenye pasi zake mechi zote stones ana 98%
Laporte ana 93%. Amna ata anaemkalibia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
City tukikaza kamba uwezekano wa kubeba ndoo upo pia na imani Chelsea hata kubali kugongeshwa na kuku hiyo J, pili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kukaza wala nn, City haachi mtu mechi hizi sita za epl.
Yupo na
1. Crystal
2. Tot
3. Man U
4. Burnley
5. Leiceister
6. Brighton

Crystal tunampiga 4
Tot tunampiga 3
Man U zilezile za siku zote
Burnely tunampiga 2
Leiceister runampiga 2
Brighton tunatandika za kutosha.
 
Jamani tupunguze mihemko lakini, maana Tot.., kumbukeni tutacheza nae mara 3 kwa maana ya kesho hapo kwake ,tarehe 17,Etihad mechi ya marudio, ona sasa tarehe 20 tu tena tutakuwa nae hapo Etihad, hofu yangu ni hii je atakubali kuwa mteja kwa game zote 3 ? Naomba kuwasilisha wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mechi ingine niya palace tunawafuata kwao je watakubali kugongeshwa au watakomaa watoe droo! ukweli hizi game 2 hizi zina ninyima ucngizi ndo maana naombea Chelsea wafanye ya kufanya hiyo J. pili kwa hao kuku wawanyonyoe kabisa hapo ndipo imani yangu itaongezeka zaidi.

Sijasema mechi zote tutashinda. Kwenye Uefa wanaangalia matokeo ya mechi ya mwisho. Kama atashida mechi moja na akaachwa kwa agr.
Mfano mechi yoyote tot akishinda 1 - 0 na mechi ya pili akalala 2 bila,
Haimaanishi kapigwa zote ila hata songa. Huko kwenye uefa hakuna shida saaaana.
 
Haya mechi ingine niya palace tunawafuata kwao je watakubali kugongeshwa au watakomaa watoe droo! ukweli hizi game 2 hizi zina ninyima ucngizi ndo maana naombea Chelsea wafanye ya kufanya hiyo J. pili kwa hao kuku wawanyonyoe kabisa hapo ndipo imani yangu itaongezeka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Palace anakaaa 4. Amini nakwambia
 
Haya mechi ingine niya palace tunawafuata kwao je watakubali kugongeshwa au watakomaa watoe droo! ukweli hizi game 2 hizi zina ninyima ucngizi ndo maana naombea Chelsea wafanye ya kufanya hiyo J. pili kwa hao kuku wawanyonyoe kabisa hapo ndipo imani yangu itaongezeka zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiombee mwenzako kufungwa, sisi tupambane tushinde zote
 
Hakuna cha kukaza wala nn, City haachi mtu mechi hizi sita za epl.
Yupo na
1. Crystal
2. Tot
3. Man U
4. Burnley
5. Leiceister
6. Brighton

Crystal tunampiga 4
Tot tunampiga 3
Man U zilezile za siku zote
Burnely tunampiga 2
Leiceister runampiga 2
Brighton tunatandika za kutosha.
Ebwna mkuu yote yanawezekana tukiamua.
Na tushaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom