The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ile game ilishangaza sana.....ndy kitakachomkuta saiv, united nae sidhan kama atalegeza wakat top 4 anachechemea saiv

Old Traford ingawa matokeo yote matatu yanawezekana ila mechi ngumu sana hiyo. City wapo kwenye ubora na Man Utd watataka nao wasipigwe nje ndani msimu huu tena Derby
 
Si ndy kama msimu uliopita ule.....kocha anayewezea mechi kubwa ni Mourinho tu, yule jamaa basi tu

Back
Top Bottom