Mkuu game ya ligi inaumuhimu sana kuliko ya leo.Aisee kweli yaani
Pochetino hawezi kubali kupigwa jumanne na jumapili
Sio bahat ila somtmes wanakuwa wajinga sana .
Na zile errors zao ndo zinawakost
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri leo wakuonyesheSio bahat ila somtmes wanakuwa wajinga sana .
Na zile errors zao ndo zinawakost
Sent using Jamii Forums mobile app
We have 11 days to prove thatTot hawez kupigwa na city mara 3 mfululizo....hawez shinda zote hzo, ubingwa wa liverpool
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ndio mzee drogba awa jamaa nashangaa wanakuchukulia poa.
Wewe timu yako inaendaga wapiYan Tot kinachowagarimu ni hicho, watasumbuana na city haswa lakin unakuta haend kkt
Huna uwezo wa kumpiga Spurs mechi 3
Kama liver pool mngecheza na blues nauhakika katika zile mech mbili msingepata matokeo zoteman City tunawajua
Walimpiga Chelsea 6 game inayofuata wakadraw 0-0 hadi Extra time
💪💪💪💪Tot hawez kupigwa na city mara 3 mfululizo....hawez shinda zote hzo, ubingwa wa liverpool
Man u hii iliyopigwa na wolves mechi zote??Ile game ilishangaza sana.....ndy kitakachomkuta saiv, united nae sidhan kama atalegeza wakat top 4 anachechemea saiv
Game sio nyepesi kwa spurs usitazame upande mmoja . heb fumba jicho moja alaf tazama ii game kwa upande wa spurs.Spurs aezi mkazia man city kama sisi.
Ata bahatisha draw kwenye uefa lakin ligi anakalishwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs anamatokeo mazuri na timy ndogo.Hivi kwenye msimamo kati ya wewe na Spurs nani yuko juu?
Sure hii game itakuwa tough sana.Old Traford ingawa matokeo yote matatu yanawezekana ila mechi ngumu sana hiyo. City wapo kwenye ubora na Man Utd watataka nao wasipigwe nje ndani msimu huu tena Derby
Na ubaya jamaa washampa mkatama.Si ndy kama msimu uliopita ule.....kocha anayewezea mechi kubwa ni Mourinho tu, yule jamaa basi tu
Mkuu vipi tena? Huku saiv tunajadili kuhusu Man city, Tot, liverpool na uhusiano wa hiz mech na ubingwa!!! Wewe unachomekea mengine ya nini sasa!!Wewe timu yako inaendaga wapi
Umeanza? Nakwambia hiviii, mkija Old Trafford, ubingwa ndy kwaheri..mtausikilizia liverpool
Sure mr. Honest,Yan Tot kinachowagarimu ni hicho, watasumbuana na city haswa lakin unakuta haend kkt
Hahahahahahahahah hahahahahahahahah AiseeMkuu vipi tena? Huku saiv tunajadili kuhusu Man city, Tot, liverpool na uhusiano wa hiz mech na ubingwa!!! Wewe unachomekea mengine ya nini sasa!!
[emoji2] [emoji2] hatukuwa tu na kauzoefu.Wewe timu yako inaendaga wapi