Mchezaji mwenye misifa ataawe mzuri vo perfomance yake inakuwa sio ya kudum mechi zote.Nimeona kapewa kitita haswa...
Pogba kirusi tu, kuna vilaza weng sana wa kuondolewa pale
Mchezaji mwenye misifa ataawe mzuri vo perfomance yake inakuwa sio ya kudum mechi zote.
Sema kesho apo mniangushie barca ntawakubali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu game ya ligi inaumuhimu sana kuliko ya leo.
Piga uwa inabidi spurs afe ata mechi mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama liver pool mngecheza na blues nauhakika katika zile mech mbili msingepata matokeo zote
Sent using Jamii Forums mobile app
Spurs anamatokeo mazuri na timy ndogo.
Pia kuna wakat na wakat anakuwa na upepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
That is really sure.Mechi mbili inawezekana ila tatu haiwezekani
Kitu kingine Spurs ana beki bwana , yaani mjipange na Forward pia wanayo ya ukweli tu
Yeah ila si kwa msimu huu.Hakuna aisee, ule msimu Conte anachukua EPL Chelsea walikupiga nne ila mi nilimpiga 3-1 nyingine nikadraw
Mwanzoni mwa msimu spurs alikuwa mzuri.Ndio namuuliza shabiki huyo wa the Blues anapodai kuwa Chelsea wapo njema kuliko Spurs
Leo england wote ni double chance.Draw ninaiona kabisa
Son mbwembwe .Kwa wale goli moja sio secured victory
Son hajawafungaga kabisa lazima atapigana atikise nyavu zenu
Leo england wote ni double chance.
Liverpool win or draw
City win or draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezaji mwenye misifa ataawe mzuri vo perfomance yake inakuwa sio ya kudum mechi zote.
Sema kesho apo mniangushie barca ntawakubali sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Liverpool hawezi Draw na FC Porto
Nyie ndio mnaweza Draw. FC Porto kutoka ligi ya hovyo ya Ureno huko
Kwenye ranksLiverpool hawezi Draw na FC Porto
Nyie ndio mnaweza Draw. FC Porto kutoka ligi ya hovyo ya Ureno huko
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Usituchukie hvyo.
Ila game kweli ngumu kweli.
Ushindi tutapata 4 hours remain
Sent using Jamii Forums mobile app