goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mnatoka kabsa
Aguero kukosa penalt kawa asili kisaikolojia wachezajiSielewi mnacheza nini leo
Aloo balaaHii game tunashida wakuu ka wameshindwa kupata goal wao 1st tayar imekula kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile penalty bila shakaPenat mnapendelewa kabsa lakin hamjafunga..mnataka nini sasa..tusubr clear cut nyingn
Wewe sio wa kuongea ayo.Man city siyo timu ya kubeba hili kombe kabisaa hana vigezo[emoji23][emoji23]
Mechi zake kama sita zilizopita hashindi zaidi ya goli mbili pep wana wameshamjulia msimu ujao kwa hizi mbinu EUROPA inamuhusu
Mkuu nadanganya Man city wallah anaweza akaishia semi final au akatoka hapahapa.Wewe sio wa kuongea ayo.
Kwa wanavyocheza spurs ww ungekuwa ushakula zakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira dakika 90Mkuu nadanganya Man city wallah anaweza akaishia semi final au akatoka hapahapa.
Katoka 2-0 na Cardiff 1-0 na Brighton na zingine kibao 2-0 yani hii ni inshara tosha kuwa wameshazisoma mbinu za Pep wapinzani goli 5 sijui 6 anazisikia tu