Kama vile tunavyoomba mtandikwe na Chelsea na game zenu za kubahatisha bahatisha [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nipo viwanjan apa tayar ngoja tujioneeHivi ndugu yangu umeandika ukiwa unamaanisha au umeandika kujifurahisha????
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure brother nipo viwanjan apaJamani mara ya mwisho spurs kutufunga ilikuwa lini? sina shaka na man city bao 4 zinawatosha!
Leo mapema sana kikosi iko apo juuJamani mara ya mwisho spurs kutufunga ilikuwa lini? sina shaka na man city bao 4 zinawatosha!