The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hebu pata picha mahrez badala ya sane.
Gundogan badala ya KDB.
Hapo company nje. Sterling upande wa kushoto.
Otamendi ushuzi.
Alieonekana kdg ni sterling laporte na ndinho.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
I feel so bad. Daaah yan dakika ya 88 ndo unaingiza KDB na sane.
Hope benardo atakuwepo next game.
Mahrez with poor passes.
Bado pep amekaa amekunja mikono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa shaka hilo gori 1 si chochote Etihad kikosi kamili siku hiyo kitakuwa na kazi 1 tu ya kuhakikisha tunasonga shika hii kauli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Brother kama tutawachezesha hawa tena game itakuwa ngumu sana.
Na tabia yake guadiola inaweza kutucost kwenye mechi kubwa kama izi.
Timu zikiwa uefa zinabadilika sana yeye hakubaliani na hilo.
Kamuacha menda kwa sababu wamegombana depth anamechi kibao hajacheza zinaweza fika ata 20.
Then unamchezesha uefa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crosses za de bruyne zilikosekana.
Na zile penetration pass zake.
Mpira wa akili nyingi pale kati.
Nyuma pale pengo la company linaonekana wazi kabisa.
Otamendi bado kdg atoe penalty.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu pata picha mahrez badala ya sane.
Gundogan badala ya KDB.
Hapo company nje. Sterling upande wa kushoto.
Otamendi ushuzi.
Alieonekana kdg ni sterling laporte na ndinho.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana lazima kocha anajua kwann kaanza hivi, Mechi ngumu kama hii anaweka kikosi kibovu. nafikiri anajua kuwa ana mechi za ligi ngumu na ameona akipata droo leo ama -1 sio shida sana, atakazia mechi ya second leg.
Subiri uone kikosi chake second leo ama kwenye ligi tutakapokutana nao.
Mechi kama ya leo Tot alitakiwa kushinda 3 - 0.
Nimechukia ila simlaumu maana naelewa wazo lake.
Na vilevile nilisema jana kuwa kushinda mechi zote tatu kwa tot sio rahisi, ila tutapita. nilisema watashinda 1 - 0 na sisi tutampiga second leg na kufuzu. na ligi tunampiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…