goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo tena lakini amini usiamini wametangulia na mzigo sio wao April 17 tutawaonesha kuwa sisi sio wavulana ni wanaume.
Ni bahati mbaya ile bana
daa kwa uandiahi huu, kweli mlistahili kichapoMahrez sio wakuanza pia apishapotea.
Gundogan kipind cha wanza hakuonekana kabisa.
Depth ndo alikuwa njia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pep ana overthink big games kama izi sijui kwa nnWangetupiga hako ka 1 kwetu hapo tungekuwa na mlima lakini saa hii amini tutasonga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muosha huoshwadaa kwa uandiahi huu, kweli mlistahili kichapo
Ondoa shaka hilo gori 1 si chochote Etihad kikosi kamili siku hiyo kitakuwa na kazi 1 tu ya kuhakikisha tunasonga shika hii kauli.
Mna vikosi virility 😂😂😂😂Hebu pata picha mahrez badala ya sane.
Gundogan badala ya KDB.
Hapo company nje. Sterling upande wa kushoto.
Otamendi ushuzi.
Alieonekana kdg ni sterling laporte na ndinho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mechi zingine 2 na Spurs hao hao.Acha spurs ashinde ili kweny ligi tumkazie Liverpool ..yeye hana madhara kabisaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Brother kama tutawachezesha hawa tena game itakuwa ngumu sana.Ondoa shaka hilo gori 1 si chochote Etihad kikosi kamili siku hiyo kitakuwa na kazi 1 tu ya kuhakikisha tunasonga shika hii kauli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi hii ndo ngumu peke yake.Na bado nyingine 2 hawakuachi
Hapana lazima kocha anajua kwann kaanza hivi, Mechi ngumu kama hii anaweka kikosi kibovu. nafikiri anajua kuwa ana mechi za ligi ngumu na ameona akipata droo leo ama -1 sio shida sana, atakazia mechi ya second leg.Hebu pata picha mahrez badala ya sane.
Gundogan badala ya KDB.
Hapo company nje. Sterling upande wa kushoto.
Otamendi ushuzi.
Alieonekana kdg ni sterling laporte na ndinho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haikuwa mechi ngumu kwetu bali ilikuwa mechi ya kujihamiMechi hii ndo ngumu peke yake.
Nidhani watatupiga ata 3.
But brother it won't be at etihad.
Sent using Jamii Forums mobile app