The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.

Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.

Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
[emoji2] [emoji2] uo ndo ukweli mkuu.
Wewe pata picha majembe yote hayapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.

Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.

Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
Tena wengine ata kikosi B hawapo kama awa wakina delph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mnapo poteza muda kujadili kitu kisichowezekana kiwezekane hapo ndipo nawashangaa au huo ushindi wa ki gori ki 1 mnaona ka wameshinda 3:0, kwa taarifa yenu hapo Etihad Tot... lazima akafe tena kifo cha mende miguu juu hiyo ndo habari yenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spurs kashinda goli moja tu.
Tena kwao.
Wametumia nguvu nyingi sana kucheza.
Sasa sisi wakija etihad hawatoki.
Etihad kafa barca usisahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasema mechi zote tutashinda. Kwenye Uefa wanaangalia matokeo ya mechi ya mwisho. Kama atashida mechi moja na akaachwa kwa agr.
Mfano mechi yoyote tot akishinda 1 - 0 na mechi ya pili akalala 2 bila,
Haimaanishi kapigwa zote ila hata songa. Huko kwenye uefa hakuna shida saaaana.
Nilichosema kabla ya mechi, ni hiki. Ndoo maana nasema mechi ya pili tunashida.
 
Manchester City manager Pep Guardiola claimed that the 1-0 defeat to Tottenham Hotspur in the Champions League on Tuesday was a better result than a 0-0 draw, because they now 'know exactly' what they need to do. The Citizens dominated the ball for large parts of the game but struggled to create many chances.
 
Tulicheza vuzuri na ku possess mpira, ila haikusaidia. Uzembe wa kipa na delph ukatuponza kuwa nyuma kwa goli moja, ila bado kuna dakika zingine 90 hatujacheza.hizi dakika wao wanataka kutokupoteza na sio kutafuta goli. Wakati sisi tunakuwa tunataka kushinda. Ila game ya kwanza niuzembe watu.
Leroy Sane na Kevin De Bruyne unawaweka dakika ya 89. Ili wafanye nn? Labda kama aliwaacha kwaajili ya kuwa fit kwenye mechi ya Crystal Palace. Hawa wachezaji walitakiwa kuingia dakika ya 75, kipindi ambacho spurs ndo walikuwa wanapambana.
 
Manchester City manager Pep Guardiola claimed that the 1-0 defeat to Tottenham Hotspur in the Champions League on Tuesday was a better result than a 0-0 draw, because they now 'know exactly' what they need to do. The Citizens dominated the ball for large parts of the game but struggled to create many chances.
Hahahhaa hii nimeipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom