Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
SureDelph sijawahi kumkubali hata siku moja. Ni ile safari ya mamba na kenge wamo.
Jamaa wakawaida sana. Ile nafasi ni ya Zichenko ama Mendy
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] uo ndo ukweli mkuu.Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.
Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.
Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
Tena wengine ata kikosi B hawapo kama awa wakina delphMkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.
Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.
Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
Thats Sure itatubidi tuwafosi wasipate goli ama wale zakutoshaNi rahisi sana kumfunga Spurs Etihad, Lakini atakachokifanya yeye ni Kutafuta goli la ugenini tu.
2 - 1 is enough kumpeleka Spurs next round.
Hahha mkuu ww jipe moyo.timu zote za kutoka jiji la Manchester hazitavuka hatua ya robo fainali. Na racist Pep mpaka anaondoka Man city hatebeba Uefa
kila la kheri Tottenham
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichosema kabla ya mechi, ni hiki. Ndoo maana nasema mechi ya pili tunashida.Sijasema mechi zote tutashinda. Kwenye Uefa wanaangalia matokeo ya mechi ya mwisho. Kama atashida mechi moja na akaachwa kwa agr.
Mfano mechi yoyote tot akishinda 1 - 0 na mechi ya pili akalala 2 bila,
Haimaanishi kapigwa zote ila hata songa. Huko kwenye uefa hakuna shida saaaana.
Umakini upi, yeye alitabiriwa kuchukua epl. Alianza vuzuri wakiwa na liverpool na man city. Angalia sasa anagomea top 4.Tot wana utulivu leo....msifikir mnateleza kama siku zote...wakizidsha umakin mnalia
Anapigwa zaidi ya unavyodhani. Na hapati goli pale.Ni rahisi sana kumfunga Spurs Etihad, Lakini atakachokifanya yeye ni Kutafuta goli la ugenini tu.
2 - 1 is enough kumpeleka Spurs next round.
Tarehe 20 ndo watakuwa na goli la ugenini, yaani wanapigwa 2 - 1Spurs kashinda goli moja tu.
Tena kwao.
Wametumia nguvu nyingi sana kucheza.
Sasa sisi wakija etihad hawatoki.
Etihad kafa barca usisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweliUmakini upi, yeye alitabiriwa kuchukua epl. Alianza vuzuri wakiwa na liverpool na man city. Angalia sasa anagomea top 4.
Hehehe nakukubali sanaAnapigwa zaidi ya unavyodhani. Na hapati goli pale.
Hahahhaa hii nimeipendaManchester City manager Pep Guardiola claimed that the 1-0 defeat to Tottenham Hotspur in the Champions League on Tuesday was a better result than a 0-0 draw, because they now 'know exactly' what they need to do. The Citizens dominated the ball for large parts of the game but struggled to create many chances.