Itakua bado hayupo fit %
Imekuwa [emoji122][emoji122]Palace has a record of conceding less than a goal at their stadium this season.
BUT KESHO TUNAENDA KUIPUNGUZA HIO RECORD YAO
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayupo kwenye form nzuri.Hivi Aguero hajui kua kiatu anatakiwa kukichukua yeye?
Dogo ana vitu hadimu ila huwa mapepe kishenzi
Tatizo lake huwa anapenda magoli ya visiginoDogo ana vitu hadimu ila huwa mapepe kishenzi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] ni kweliJukumu letu sasa kuwashangilia Chelsea. adui mwombee njaa
KDB ni mtu, kwenye game ya Spurs alibadiri Mpira ndani ya dk tatu tuHayupo kwenye form nzuri.
Nashindwa kuelewa kabisa.
Dogo kaingia ndani ya dakika mbili kapata goli.
De bruyne leo ana assist zake 2
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] hatareee xana mkuuu hapa npo kwenye maomb Chelsea ashindeJukumu letu sasa kuwashangilia Chelsea. adui mwombee njaa
Hakuna ingine zaidi ya hii karibu [emoji3][emoji3][emoji3]Atleast naweza kushabikia timu hii.
Karibu sanaAtleast naweza kushabikia timu hii.
Shukrani wapendwa.Karibu sana
Yeah kumbe na ww uliona iko kitu.KDB ni mtu, kwenye game ya Spurs alibadiri Mpira ndani ya dk tatu tu
Mkuu unakaribishwa sana ushindini[emoji23][emoji23] hatareee xana mkuuu hapa npo kwenye maomb Chelsea ashinde