goswe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 4,432
- 5,036
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wale jamaa wa crystal palace waliokuwa wanatunyima usingizi wako wapi leo? Sisi tunatabiri mipira yetu wao wanakaa wakikosoa halafu wapo chini yetu kwenye ligi.Shukrani wapendwa.
Walikuwa ni wa LiverfailsHivi wale jamaa wa crystal palace waliokuwa wanatunyima usingizi wako wapi leo? Sisi tunatabiri mipira yetu wao wanakaa wakikosoa halafu wapo chini yetu kwenye ligi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watakuja mechi na spursHivi wale jamaa wa crystal palace waliokuwa wanatunyima usingizi wako wapi leo? Sisi tunatabiri mipira yetu wao wanakaa wakikosoa halafu wapo chini yetu kwenye ligi.
Hawana mshambuliaji basi tabu kweli kweli
Wala hawakuwa liver, watakuwa ni jamaa ambao wapo chini ya top 4. kuan vitimu havipendi pep achukue tena.
Na old trafford msubir...tunaitaji points 3
Kule Chelsea anaelekea kutusaidia. half time ni bila bila