Penison
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 6,274
- 12,244
Mbona hukumalizia update yako ya mechi Mkuu FT mechi iliishaje.HT
Liverpool 0 - 0 Man City B
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hukumalizia update yako ya mechi Mkuu FT mechi iliishaje.HT
Liverpool 0 - 0 Man City B
Hahahahahahahahah njaa ya ugaliJukumu letu sasa kuwashangilia Chelsea. adui mwombee njaa
Hayo maombi uchwara uliyoyafanya hata MUNGU alikushangaa alikuona mwehu mechi ichezwe England wewe ufanye maombi Namtumbo kweli ni Akili hizi MUNGU aache kusikiliza maombi ya wagonjwa asikilize Upuuzi wako wewe.[emoji23][emoji23] hatareee xana mkuuu hapa npo kwenye maomb Chelsea ashinde
Ila amini ninayowaambia.Hayo maombi uchwara uliyoyafanya hata MUNGU alikushangaa alikuona mwehu mechi ichezwe England wewe ufanye maombi Namtumbo kweli ni Akili hizi MUNGU aache kusikiliza maombi ya wagonjwa asikilize Upuuzi wako wewe.
Liver 2 vs 0 ChelseaMbona hukumalizia update yako ya mechi Mkuu FT mechi iliishaje.
Usishone kwanza mkuu maana unaweza kuishia kuivaa kwenye sherehe za Kipaimara badala ya party ya ubingwaTOTTENHAM droo tu inatosha Hahahahahahahahah Ngoja nianze kuandaa Suti ya Part ya Ubingwa Hahahahahahahahah
Hawawezi kuzuiaMajirani zetu wako tayari wakose Top 4 kuliko kutuzuilia point 3 yaani bora ubingwa tukabeba sie nasi kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] ni kweliHata kwa Palace mlisema kauli za namna hii lakini tambueni gari moshi linapo shika high speed huwa halisimamishwi ghafla hadi kwenye kituo nadhani utakuwa umeelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Io draw sasa kuipataTOTTENHAM droo tu inatosha Hahahahahahahahah Ngoja nianze kuandaa Suti ya Part ya Ubingwa Hahahahahahahahah
Walikuwa wanaazimisha vifi miaka 30 iliopita.Maombolezo yanaendeleaje Mkuu
Waliibahatika ushindi japo kwa mbinde sanaMbona hukumalizia update yako ya mechi Mkuu FT mechi iliishaje.
Mtaanguka tu sehemHayo maombi uchwara uliyoyafanya hata MUNGU alikushangaa alikuona mwehu mechi ichezwe England wewe ufanye maombi Namtumbo kweli ni Akili hizi MUNGU aache kusikiliza maombi ya wagonjwa asikilize Upuuzi wako wewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] calvin ww huwa utabiri wako nauamini san kuliko wa dr. LickyIla amini ninayowaambia.
Nisema man city atafungwa na spur first leg 1-0. Second leg sina utabiri wa magoli ila City atashinda kwa agr.
Liverpool mechi yake ya mwisho Kwenye epl yupo na wolves. Utabiri wangu pamoja na kwamba liverpool atakuwa anapambana ili ashinde ila mechi itaisha droo.
Tutaona ni nani ataangusha point kati ya Sisi na Yinyi hahahahahahahahah
mkuu neymar hakuepo kikosini na cavan kaingia dakika 90+Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.
Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.
Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
Ww jamaa endelea kung'ong'a sanamuTutaona ni nani ataangusha point kati ya Sisi na Yinyi hahahahahahahahah
fanya uchaguzi sahihi ucje juta cku za mbeleni dear!Atleast naweza kushabikia timu hii.