The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji23][emoji23] hatareee xana mkuuu hapa npo kwenye maomb Chelsea ashinde
Hayo maombi uchwara uliyoyafanya hata MUNGU alikushangaa alikuona mwehu mechi ichezwe England wewe ufanye maombi Namtumbo kweli ni Akili hizi MUNGU aache kusikiliza maombi ya wagonjwa asikilize Upuuzi wako wewe.
 
Ila amini ninayowaambia.
Nisema man city atafungwa na spur first leg 1-0. Second leg sina utabiri wa magoli ila City atashinda kwa agr.
Liverpool mechi yake ya mwisho Kwenye epl yupo na wolves. Utabiri wangu pamoja na kwamba liverpool atakuwa anapambana ili ashinde ila mechi itaisha droo.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] calvin ww huwa utabiri wako nauamini san kuliko wa dr. Licky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hii kauli futa kabisa! Liverpool Msimu aliifunga Man United ikiwa na Kikosi Kamili, Lakini am shindwa kuifunga ikiwa na Nusu kikosi.

Man United alifungwa na PSG akiwa na Mziki wa kina Pogba huku PSG ikiwakosa kina Neymar na Cavani.
Lakini Man United isiyokuwa na kina Pogba iliifunga PSG yenye kina Neymar na Cavani.

Kwahiyo point ya Kikosi B iwache kabisa.
mkuu neymar hakuepo kikosini na cavan kaingia dakika 90+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom