2 zinatosha sanaThe city leo haturuhusu gori ila wao tutataka kuwatoboa 2 tu kwa mtungi inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yan tupo pamoja kabisaMaoni yangu binafsi kama SHABIKI wa Man City
1) KDB kama mchezaji muhimu:
Kwanza ni lazima nikili kuwa mechi ya leo dhidi ya SPURS itakuwa ngumu sana, ugumu huo unakuja kutokana na matokeo ya mechi ya kwanza na ubora wa Pochettino.
Hivyo kutokana na ugumu wa mechi ya leo inahitajika De Bruyne awe katika kiwango chake kile tulichokizoea (De Bruyne ndio mchezaji mwenye ufunguo wa matokeo yatakayotupeleka hatua ya nusu fainali), wanachotakiwa kufanya wachezaji wengine wa City ni kumpa ushirikiano mzuri mzungu chuma (De Bruyne), na hii ndio maana halisi ya neno timu.
2) Muda David Silva kupumzika:
Kama umekua mfuatiliaji mzuri wa mechi za Man City basi bila shaka utakubaliana na mimi kuwa kiwango cha mchawi huyu wa soka kimeshuka sana, nafikiri ni muda umeanza kupingana nae. Kutokana na kushuka kwa David Silva nafikiri mechi ya leo ilikuwa ni wakati muafaka kwa Pep Guardiola kumtumia Bernardo Silva kwenye nafasi ya David Silva.
3) Ni mechi ya Pep kuanza kumuamini Sane:
Kasi ya Sane itasababisha matatizo makubwa sana kwa mabeki wa Spurs, pia Sane ana rekodi nzuri sana katika mechi ambazo ameanza katika uwanja wa Etihad.
3) Danilo acheze nafasi ya beki wa kushoto:
Kutokana na Zinchenko kuwa majeruhi bas itakua vyema sana kama nafasi yake itazibwa na Danilo. Kwanini Danilo na sio Mendy? Danilo amecheza mechi nyingi msimu huu kulinganisha na Mendy, pia aina ya uchezaji wa Mendy inaweza kuigharimu timu (Ni mzito sana).
4) No Mahrez, No Gundogan:
Kama ningekuwa na uwezo wa kuonana uso kwa macho na Pep, basi ningempigia hata magoti kumuomba hao watu wasiwe kwenye kikosi cha kwanza cha mechi ya leo, hawaaminiki kabisa hao wahezaji. Ila kwa jinsi PEP anavyompenda Gundogan, sitoshangaa nikimuona kwenye kikosi cha kwanza.
5) KIKOSI CHANGU CHA LEO:
Ederson
Walker, Kompany/Stones, Laporte, Danilo
Fernandinho
De Bruyne, Bernardo
Sterling, Aguero, Sane
MWISHO; No Otamendi please...!!![emoji17][emoji17][emoji17]
Hiyo namba nne upo sahihi.Maoni yangu binafsi kama SHABIKI wa Man City

MWISHO; No Otamendi please...!!!πππ
Mkongwe...
Chiiiiiiiiiiih..!Hellow majirani all the best pia muokoeni drake na kashfa za gunduView attachment 1074477
Chiiiiiiiiiiih..!
Hii picha imepigwa lini Kiongozi..?
Maana huyo kijana wa Kimarekani ana GUNDU hatari..!
Hahahha mm nipo maeneo nasubiri gameMkongwe...
Hapa nilipo nakisubiri kikosi cha kwanza kwa hamu,yaani nikiona jina la Mahrez au Gundogan basi nitacheki matokeo baada ya dakika 45 za kwanza,baada ya hapo ndio nitaamua kama niingie online kuendelea kuangalia au nilale zangu tu..!
ππππππ EditingHellow majirani all the best pia muokoeni drake na kashfa za gunduView attachment 1074477
Tupe kikosi"Ahsante sana Guardiola kwa kuwaanzisha Gundogan na David Silva,tutafanyaje sasa,wakati wewe ndio MTU wa mwisho katika kufanya maamuzi ya nani acheze na nani asicheze!?"
Nitakuja kucheki matokeo baada ya kipindi cha kwanza..!