The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mbona umepaniki mkuu

Uwekezaji wa city ni wa kawaida sana hana mchezaji wa garama kama ilivyo kwa man u

PSG

Madrid


City ni timu ninayo jengwa bado na inahitaji kuendelea kujengwa maana INA vijana ila wamekosa kiu ya kombe la uefa watakapo pata kiu watapambana kama walivyo pambana kuipa EPL
 
Muulize wametumia shngap wao mpak aiseme city.
 
Huyu Pep ni fraud tu!
Barca walichukua UCL sababu ta uhodari wa akina Xavi wala sio yy!
Sasa mwaka huu anachukua Carabao tu kisha bye bye!
EPL hata Pelegrino au Mancin alichukua!
 
[emoji2] [emoji2] ni kweli
Tabu tupu.
Ni kama mwanafunzi anapotetewa mara nyingi anajawa na sifa.
Na wakat kama huu kupata kocha wa viwango nao ni mtihan
Azard kafukuza makocha wawili

Pogba kafukuza mmoja na huyu nae atafukuzwa na pogba
 
Huyu Pep no fraud tu!
Barca walichukua UCL sababu ta uhodari wa akina Xavi wala sio yy!
Sasa mwaka huu anachukua Carabao tu kisha bye bye!
EPL hata Pelegrino au Mancin alichukua!
Jidanganye.
Maana kwa sasa tupo free kupambana kwa ajili ya epl.
Tulikuwa na ratiba ngumu sana sasa sikilizia shoo
 
Jidanganye.
Maana kwa sasa tupo free kupambana kwa ajili ya epl.
Tulikuwa na ratiba ngumu sana sasa sikilizia shoo

EPL Liverpool kaisha libeba!
Jumamosi mtakuja kwa mahasira na watapata kadi nyekundu mapema tu na Son atawaua!Mmeisha changanyikiwa sababu mlijidanganya kama kikosi hicho kitawapa quadruple!

Yaani uchukua quadruple na beki Otamendi?Pep apunguze masihara
 
Tumechukua mara tano akiwepo.
Ww umechukua mara ngap mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…