Walikorofishana kdg tuKwa jinsi Pep anavyomweka benchi Sane,nafikiri huyu kijana atakagoma kusaini mkataba mpya..!
Game ishaisha tumeshindaLeo sizungumzi chochote
Haha uo uongoSafi majiran,msiwe na wasiwasi sie man u tutawapa points 3 mapemaaaaaa.Ubingwa wenu na si wa wale wakina fulan
Spurs tangu tulipowaruhusu watuzoee game ya kwanza wamekuwa wanacheza sana.Mkimfunga man u next game mtaanza kuunyemelea ubingwa taratibu
Dogo aende zake tu...Walikorofishana kdg tu
Safi majiran,msiwe na wasiwasi sie man u tutawapa points 3 mapemaaaaaa.Ubingwa wenu na si wa wale wakina fulan
Haha uo uongo
Tatizo hajawa na form nzuri hv karibunDogo aende zake tu...
Kwa kiwango chake sio mtu wa kukalia ubao..!
Nimecheka sana hii
The last step will decide who is up
Nimecheka sana hii
Yani hapo ni motoo... Singida DodomaThe last step will decide who is up
Ni kweli kabisa.Huu ubingwa twapaswa kuchukua ili kulinda heshima yetu
Sent from my A37fw using JamiiForums mobile app
Nakweli kaanza vizuriNaona foden anaanza
πππ