adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Anashangilia vipi mpk wamchukie?Wengi wao wanamchukia Pep, mwingine alisema anamchukia Aguero hasa ule ushangiliaji wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashangilia vipi mpk wamchukie?Wengi wao wanamchukia Pep, mwingine alisema anamchukia Aguero hasa ule ushangiliaji wake
Anashangilia vipi mpk wamchukie?
Nikweli, au ubovu wa mchezaji ila hii inatokea pale mchezaji husika anacheza katika timu unayoishabikiaChuki zinakuja kwa sababu ya ubora wa mchezaji.
Ni wachezaji wachache sana ambao ni bora wanaopata kupendwa na watu wengi.
Mfano Messi, Ronaldo De Lima, Ronaldinho, Kaka, nk ni wachezaji ambao unapokutana nao hata wakikufunga unaridhika.
Nikweli, au ubovu wa mchezaji ila hii inatokea pale mchezaji husika anacheza katika timu unayoishabikia
Eeh kama ilivyokua kwa Andrea Gomez wa BarcaHapo kwenye ubovu unakuta kila siku anapangwa yeye, mpaka unaweza kuchukua likizo ya kuiangalia timu ikicheza.
[emoji3][emoji3][emoji3]Yan tayar mshaanza kutafutana.....kwahy saiv pochtno aje city et!! Lazima kikuuume mana msimu uliopita tot hakufanya usajili hata mmoja and yet kafika hapa, hata kama ni VAR lakin walipambana kuhakikkisha magoli hayazid...VAR ina sehem yake lakin kam timu walipambana wasifungwe zaid
Na kama pep akitolewa leo basi inabidi tumchukue kocha wa ajax